Urusi imekemea shambulizi lililofanywa na Marekani,Uingereza na Ufaransa dhidi ya silaha za kemikali nchini Syria.
Kwa mujibu wa habari,Urusi inaamini shambulizi hilo ni kinyume na sheria za kimataifa na kinazuia uchunguzi zaidi kuhusu shambulizi hilo la kemikali kuendelea.
Hayo yamezungumzwa na mwanasheria nchini Urusi.
Mwenyekiti wa kamati ya kimataifa ya masuala ya kimataifa ya bunge la Urusi, Konstantin Kosachev, amelielezea kama shambulizi lisilo na nguvu kwa serikali huru.
"Pia kuna uwezekano mkubwa kuwa hilo ni jaribio la kuleta matatizo au kufuta kabisa jitihada za Shirika la Uzuiaji wa Silaha za Kemikali ambalo lilianza tu kazi yake kuchunguza shambulizi la kemikali Douma",alisema Kosachev.