"Kuoa ni mkitu ambacho bado sijafikiria, bado sana kuoa sijajua wewe, kwaababu kuna vitu sijaweka sawa, na ukiwa kama kijana lazima nioe ili kuongeza heshima yangu ili kuongeza familia, na nina project ya kufungua lebo yangu iitwe makabila Empire ili iwezekusaidia na watu wengine nimeongea na mkubwa fella na tupo kwenye prosesi." Dulla Makabila
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................
