Mke wa chidi mapenzi ambae pia ni muigizaji wa filamu za Tanzania, Shamsa Ford amesema Faiza Ally ni mwanamke anaependa kukurupuka kwenye mitandao ya kijamii na hiyo imetokana na sakata la Zari kupewa ubalozi siku za kabiribuni ambapo Faiza alilijia juu swala hilo kwa kusema kuwa sio uzalienda, Na shamsa ford kuwa kinyume na mawazo ya wasanii wengi kwa kuunga mkono zari kuwa balozi, ambapo sabau alizoeleza ilikuwa ni kwamba wasanii wa bongo bado hawajiheshimu na kuvaa mavazi yasio na maadili .
Na kumalizia kwa kusema kuwa watanzania wengi walikuwa wanajua hatadumu kwenye ndoa yake na Chidi mapenzi hatimaye wamedumu ila bado hawana mpango wa kuzaa, na anampenda sana mume wake na hajawahi kupigwa kwani mume wake ni mpole sana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI................ USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................