Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM) ameishushia tuhuma ya ufisadi Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kufuatia ripoti ya Mkaguzi na Udhibiti wa Serikali CAG kuonesha kuwa kuna fedha zilizokopeshwa kwa mwanachama wa Chadema Sh 2 Bilioni ambazo hazioneshi zilikopwa na nani.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
