Rais Magufuli aguswa na kifo cha Mzee Majuto, atuma salamu za rambirambi

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John POmbe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Waziri wa habari na utamaduni, sanaa na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kufuatia kifo cha msanii mkongwe hapa nchini Mzee Amri Athuman Maarufu kwa jina la King Majuto.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia