VIDEO: Aishi Manula afunguka kambi ya Uturuki, atamba kuisambaratisha Asante Kotoko


Golikipa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula ameelezea kiundani kuhusu kambi yao ya takribani wiki mbili waliyoiweka nchini Uturuki pamoja na kutamba kuwa hilo litawasaidia katika kuisambaratisha Asante Kotoko kutoka Ghana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi