VIDEO: Mwili wa Mzee Majuto Ukitolewa Mochwari, Vilio Vyatawala
byMuungwana Blog 2-
0
Mwili wa Mkali wa komedi nchini, Mzee Majuto tayari umetolewa mochwari ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kuelekea msikitini kuswaliwa kabla ya kupelekwa ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kuagwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE