VIDEO: Magufuli, Lissu, Zitto Waungana Kifo cha Mzee Majuto


Kufuatia kifo cha nguli wa komedi nchini, Mzee King Majuto, watu maarufu nchini wakiwemo wakiongozwa na Rais John Magufuli wametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mkali huyo huku wakimuelezea kama mmoja wa watu muhimu ambao wamesaidia maendeleo ya tasnia ya maigizo nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia