Kauli ya Gigy Money kuhusu kutoka kimapenzi na Lavalava

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, hitmaker wa wimbo 'Nampa Papa', Gift Stanford a.k.a Gigy Money amefichua kuwa amekuwa kwenye mahusiano na msanii wa muziki kutoka Lebo ya WCB Wasafi, @iamlavalava.

Katika video waliyoonekana katika ishara za uwepo wa mahaba kati yao, Gigy aliandika ujumbe kwenye post ya video hiyo kuwa "Tumeamua kuweka wazi tumechoka kujificha". Je, unahisi Lava Lava sasa hana Gundu tena?

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia