"Sisi kama CHADEMA hatujakaa kujadili swala la Wanachama wa CUF wahamie kwenye chama chetu tuna wanachama wengi kwenye hii nchi na tuna taasisi mbalimbali inawezekana ni matamanio ya watu ndani ya taasisi ila kama chama hatujajadili swala hili" Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa Dkt. Vicent Mashinji
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
