Babu Tale athibitisha afya ya Hawa kuendelea vizuri

 Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ametoa taarifa kuwa msanii wa muziki nchini Hawa Said maarufu kama Hawa wa Diamond anaendelea vizuri .

Ikumbukwe Hawa alikuwa na tatizo la ini ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini na Babu Tale ndio alipewa jukumu la kusimamia matibabu yake nchini India kwa kuwa gharama zote za matibabu alizitoa Diamond Platnumz.

Ujumbe wa Babu Tale ni huu hapa:-

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items