Hivi ndivyo ilivyokua katika mechi ya Lesotho na Taifa Stars
byMuungwana Blog 2-
0
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imepoteza nafasi ya kufuzu moja kwa moja michuano ya AFCON hii leo baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya wenyeji Lesotho.