Diwani wa kata ya Kikatiti wilayani Arumeru, Elisa Mungure ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Fedha amesema kuwa taarifa aliyoitoa mkuu wa wilaya hiyo Jerry Murro kuhusu ubadhirifu wa Tsh. 300 aliyetajwa kuhusika sio mtu sahihi.
Pia Diwani huyo amemuomba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo kutoa semina aelekezi kwa wakuu wapya wa wilaya kama Jerry Muro.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA... PIA SUBSCRIBE
