Mkurugenzi wa fedha wa Chama cha Wananchi CUF Thomas Malima leo Novemba 22 amemuomba Rais Magufuli kuruhusu watanzania wawasikilize wanasiasa ili wapate maoni tofauti ya pande mbili ambapo ni tofauti na sasa wanasisikilize upande mmoja wa Serikali
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
