Zamani wasanii tulikuwa tunachonganishwa tuchukiane - Diamond Platnumz



Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz amesema kuwa wasanii zamani walikuwa wanachonganishwa ili wachukiane na kugombana ili wasiwe wamoja.

Diamond amesema kuwa waliokuwa wanawachonganisha ili wagombane wasiwe pamoja na wakashindwa kufanya Wasafi Festival.

" Zamani wasanii tulikuwa tunachinganishwa tuchukizwe tuchukiane tugombane ili tusiwe wamoja walijua tukiwa wamoja tutashindwa kufanya vitu kama hivi ,"Diamond Platnumz ameiambia Dizzim Online.

"Hata wasanii walikuwa wanatakiwa waperfom leo Dar es salaam yaani walikuwa miili yao ipo kule akili na mioyo yao yote ipo huku, wengi walikuwa wananitumia message wanawatumia massage viongozi wangu is just tu wanaona aibu,"
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia