BASATA yawafungulia Diamond, Rayvanny na Wasafi Festival
byMuungwana Blog 3-
0
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limewaondoa adhabu wasanii Diamond Platnumz na Rayvanny ambayo ilikuwa ni kutojihusisha na sanaa kwa kipindi kisichojulikana. Pia Basata wamelifungulia Tamasha la Wasafi Festival.