Katika jambo linaloshangaza ni pale jambo la tofauti linapotokea Huko wilayani Korogwe Mkoani Tanga Kijana Ibrahim Paul amebadili matumizi ya mashine ya kusaga pamoja na kukoboa na kubuni utofauti ambapo kwasasa inatumika kama gari katika matumizi mengine kwenye kijiji cha Bwiko na kujipatia kipato.
Akizungumza na Muungwana Tv ilipopata fursa ya kufanya nae mahojiano Kijana Paul amesema kinachotakiwa ni kuwezeshwa lakini vijana wengi kwasasa ni wabunifu huku akionyesha gari hilo linavyotumika
Akizungumza na Muungwana Tv ilipopata fursa ya kufanya nae mahojiano Kijana Paul amesema kinachotakiwa ni kuwezeshwa lakini vijana wengi kwasasa ni wabunifu huku akionyesha gari hilo linavyotumika
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE