VIDEO: Polepole aibuka kwenye kongamano ''kama kuna mtu anakwamisha mambo nishtue tu''

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Januari 24 amewasa vijana kujifunza mafunzo kwa vitendo ili kuliletea taifa maendeleo ambapo pia amewaomba kumpa taarifa kwa watu ambao wanakwamisha mambo ya watu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia