VIDEO: Simba wapiga mazoezi ya mwisho ya kufa mtu kabla ya kukutana na Waarabu
byMuungwana Blog 1-
0
Klabu ya soka ya Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kucheza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya JS Saoura Juamamosi hii.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE