Wananchi wa kata ya Ngarenanyuki wilayani Arumeru mkoani Arusha wamelazimika kuangua kilio mbele ya Katibu Mkuu wa UWT taifa Bi Queen Mlozi kutokana na Mateso ya kupigwa Mabomu na Askari wa ANAPA ,kupigwa mabomu ,kunyang'anywa mashamba ya Mazao na Mifugo ,kuchomewa Nyumba zao pamoja na Kufukuzwa Eneo walilokuwa wakiishi kwa kile walichodai kuwa wamevamia eneo la hifadhi ya Arusha National Park.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
