VIDEO:Kombora lingine kwa Lissu ''Raha ya tusi mtukane mtu limuingie alafu alete ngumi'' Polepole
byMuungwana Blog 1-
0
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amemtupia kombora Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kufatia mahojiano yake katika kipindi cha BBC cha HardTalkna kusema kuwa raha ya tusi mtukane mtu limuingie alafu alete ngumi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE