VIDEO:Wenyeviti, watendaji kuongoza kwa rushwa


Na John Walter-MANYARA
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa [TAKUKURU] mkoa wa Manyara kwa kipindi cha Oktoba 2018 hadi Desemba 2018 imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni mia nne [400] na kuzirejesha serikalini.
Akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi zao zilizopo Makao makuu ya mkoa Babati mjini mkuu wa TAKUKURU Fidelis Kalungura amesema katika kipindi chote hicho wanaoongoza kwa vitendo vya Rushwa ni wenyeyiti wa mitaa,vitongoji,vijiji pamoja na watendaji wa mitaa,kata na vijiji.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE............

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia