Picha: Spika wa Bunge alipokutana na Balozi wa Ethiopia nchini
byMuungwana Blog 3-
0
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) amekuta na kuzungumza na Balozi wa Ethiopia nchini, Yonas Yosef Sanbe alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Mwingine ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Ethiopia nchini, Tewodros Girma.