Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kingwangalla amezungumza jinsi alivyomfahamu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds, Ruge Mtahaba huku akisema kuwa alikuwa akifanya kazi bila kujali malipo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, KISHA USISAHAU KUSUBSCRIBE...
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, KISHA USISAHAU KUSUBSCRIBE...