Baada ya wimbo wa Harmonize kuchezwa Taifa, amuomba jambo hili Diamond


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva , Harmonize amemuomba Diamond Platnumz ambaye ni C.E.O wa WCB  kuachia EP nyingine kama ya Afro Bongo.

Kauli hiyo imekuja baada ya Wimbo wa Harmonize 'Kainama' kupigwa jana katika uwanja wa Taifa katika mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Uganda.




Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia