Bondia Mtanzania, Mwakinyo amchakaza Gonzalez kutoka Argentina (+picha)
byMuungwana Blog 3-
0
Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi Sergio Gonzalez raia wa Argentina. Mwakinyo amemchapa Gonzalez kwa TKO katika raundi ya tano ya pambano hilo lililofanyika jijini Nairobi Nchini Kenya.