Picha: Shonza alivyoshiriki kufunga Kongamano la 11 la Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza jana Mkoani Morogoro  alishiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11 la Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Waisilam Mkoani hapo (MUM).








Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia