VIDEO: Dk. Bashiru amvaa Mbunge CCM, apigilia msumari sakata la JPM kuongoza miaka 7


KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. Bashiru Alli amesema kuwa  amehitimisha hoja ya miaka saba ya Urais iliyokuwa ikienezwa na baadhi ya watu ikiwemo mbunge wa Chemba Mh.Juma Nkamia kwa kusema kuwa CCM haaina mpango wa kuruhusu Masultani.

TAZAMA FULLVIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia