VIDEO: Mwanasaikolojia wa Yanga afunguka mechi ya Taifa Stars na Uganda
byMuungwana Blog 1-
0
Mwanasaikolojia wa klabu ya soka ya Yanga, Winifrida Shonde, amefunguka kuhusu mchezo wa Jumapili hii kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes ambao ni wakufuzu michuano ya AFCON mwaka huu nchini Misri.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE