Madereva wa vyombo vya moto Mkoani Arusha watakiwa kutotumia vilevi wakati wawapo barabarani Arusha, Aprili 5, 2019, Kampeni ya unywaji wa kistarabu inayoendeshwa na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) imezinduliwa rasmi Mkoani Arusha ambapo madereva wa vyombo vya moto wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani na kutotumia vilevi wakati wa kazi.