VIDEO: Haya ndio maagizo ya Wizara ya Kilimo kwa tume ya Ushirika
byMuungwana Blog 3-
0
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeziagiza taasisi zote zinazo husika na usimamizi wa sekta ya kahawa na ushirika kuhakikisha vyama hivyo vinalelewa na kusimamiwa ipasavyo ili makosa yaliyo fanyika awali kutojirudia tena.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE......