VIDEO: Tazama magoli yote ya Yanga na Kagera Sugar (3-2)


Klabu ya soka ya Yanga imeendelea kujikita kileleni katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kushinda mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kwa mabao 3-2.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items