Mawaziri wakubaliana kuhusu sheria ya Brexit


Mawaziri wa Uingereza wamekubaliana kuendeleza mazungumzo na chama cha upinzani cha Labour huku wakiisisitiza Serikali kuhakikisha sheria kuhusu nchi hiyo kujiondoa Umoja wa Ulaya inapitishwa kabla wabunge hawajakwenda kwenye mapumziko ya majira ya joto.

Msemaji wa Waziri Mkuu amesema baada ya kikao kirefu cha mawaziri wa Theresa May kwenye baraza hilo wamekubaliana hatua inayofuata lakini walielezea haja ya uharaka wa kupatikana kwa makubaliano ya kujiondoa yatakayopitishwa na bunge na kusainiwa kuwa sheria haraka iwezekanavyo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia