Spika wa Bunge afanya mazungumzo na Kaimu Mwakilishi Mkazi UNDP
byMuungwana Blog 3-
0
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimzungumza na Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP, Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.