VIDEO: Kilio chatanda ,mapokezi ya Mengi Moshi


Wakaazi wa Mji wa Moshi wamejitokeza leo hii kumpokea marehemu DK. Reginald Mengi almaarufu mlezi wa wanyonge katika barabara ya kutokea Kia kuelekea Machame.

Simanzi ,hofu na huzuni imetanda  katika Mji huu huku wengi wao wakisikitishwa na pigo hili kubwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIB

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia