VIDEO: Patachimbika!!! Askofu GWAJIMA kumuanika anayempakazia, Aikana Video Inayosambaa
byMuungwana Blog 3-
0
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa Siku ya Jumapili atamuweka wazi mtu anayempakazia kuwa yeye ndiye muhusika katika video ya ngono, ameongeza kuwa anayesambaza video hiyo anania mbaya na yeye, mbinu alizozitumia mwanzo ndizo hizo hizo atakazozitumia hata sasa.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.......