VIDEO: Walioshinda kusoma Quruan wapewa heshima ya kuwa wageni rasmi


Shule ambayo washindi wa kusoma Quruani Tukufu wanasoma, Ndugu zakalia na Sulaya leo wamepewa heshima yakuwa wageni rasmi katika hafla waliyofanyiwa na shule hiyo katika kuwapa zawadi kama pongezi baada ya kuibuka katika Nafasi ya kwanza na ya Tano katika kusoma Quruan Tukufu Kimataifa.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items