Breaking News: Rais Magufuli amtumbua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Michael Pius Nyagoga.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia