Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Fungo Mayala (34) kabila Msukuma, Mfanyabiashara wa samaki mkazi wa Mhandu Kisiwani wilayani Nyamagana, Mwanza amemshambulia kwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili mpenzi wake Hamida Joseph (30) na kumkaba hadi kufa na yeye mwenyewe kuchukua maamuzi ya kuwasha moto chumbani na kujiteketeza.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHU KUSUBSCRIBE
