Klabu ya Barcelona imetenga kiasi cha £90m pamoja na wachezaji wawili kwaajili ya kumsajili tena mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar.
Klabu hiyo ya Hispania imewapa orodha ya wachezaji klabu ya PSG ambao wanaweza kujumuishwa kwenye mpango huo ambao ni Philippe Coutinho, Ousmane Dembele, Ivan Rakitic, Nelson Semedo, Malcom and Samuel Umtiti.