Nyumbani John Heche aanza ziara jimboni kwake byMuungwana Blog 3 -7/19/2019 11:00:00 AM 0 Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameanza ziara yake jimboni kwake siku ya jana ambapo alikabidhi saruji na mabati kijiji cha Gwitare, Kimusi na Borega A. Pamoja na hayo, Mbunge huyo alizungumza na wananchi kusikiliza kero zao. Facebook Twitter