DAS Newala akutana na Maafisa Elimu, Wakuu wa Shule


Semina ilioandaliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Newala, Ndugu Mussa Chinaye  katika Ukumbi wa UMOJA Uliopo Newala. Semina hiyo iliwajumuisha Maafisa Elimu kata 22 na Walimu wa Kuu 39 wadau mbalimbali wa Elimu.


Semina hiyo ambayo Mgeni Rasmi akiwa Katibu Tawala wa Wilaya, Ndugu Daniel Zenda akimwakilisha Mkuu wa Wilaya Mhe Aziza Mangosongo,Pamoja na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kuhakikisha Ubora katika Elimu Unazidi kuongezeka na Ufaulu wa Alama za juu  Wanafunzi kuongezeka.

Ndugu Daniel Zenda akiwataka washiriki wa Semina kuongeza Umakini  katika Majukumu waliyonayo,kufuata na kuzingatia Mafunzo yatakayo tolewa na  wataalamu kwa Muda wote walitakao kuwepo

Aidha Ndugu Mussa Chimaye akibainisha na kufafanua namna Ilani ya CCM ya Uchaguzi 2015/2020 Inavyotekelezwa kupitia wajumbe hao ambaoni wanaongezewa Ujuzi na Ufahamu zaidi kupitia Semina hiyo.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia