VIDEO: Mimi sio Dudubaya ni Konki/ Sinywi pombe, soda maradhi/ Mwamposa/ Nina maadui wengi (Exclusive)


Msanii wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya "Konki 3 Master" amefunguka mengi kupitia Muungwana TV ikiwemo sababu ya kubadili jina lake, kuacha kunywa pombe, kilichompeleka kwa mchungaji Mwamposa nk.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi