F VIDEO: Tetesi za soka leo Agosti 20 | Muungwana BLOG

VIDEO: Tetesi za soka leo Agosti 20


PSG iko tayari kuipatia Real Madrid mshambuliaji wake Neymar iwapo klabu hiyo itawapatia beki wake wa kati Raphael Varane, 26, na winga mwenye umri wa miaka 19 Vinicius Jr.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USIKOSE KU-SUBSCRIBE....