LIVE: Rais Magufuli azindua Rada mbili za kuongozea Ndege


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azindua Rada mbili (2) za kuongozea ndege za Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Hafla inayofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia