Pikipiki 10 zenye kasi zaidi Duniani


 1. Dodge Tomahawk: 350 mph (560 km/h)
Pikipiki hii ina cylinder 10, 90 degree v-type engine.Inaweza kufika spidi ya 350 mph (560 km/h).
Inaweza kuzalisha 500 horsepower (370kw) @ 5600 rpm. Mfumo wake ni 2 speed manual transmission

2. Suzuki Hayabusa: 248 mph (397 km/h)
 Pikipiki hizi asili yake ni Japan, ina 1340 cc, 4 stroke, 4 cylinder, liquid-cooled, DOHC,16 valve engine.
Hizi pikipiki za Suzuki zina spidi 248 mph (392 km/h). 197 horsepower (147 Kw) @ 6750 rpm. Transmission system ni 6 speeds yenye constant mesh.

3. MTT Turbine Superbike Y2K: 227 mph (365 km/h)
 Pikipiki hii inatumia Royl Royce 250-C20 turbo shaft engine.Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 227mph (365km/h).
Horsepower yake ni (239Kw) @ 52000 rpm.Transmission system inayotumia hii pikipiki ni tofauti na nyingine, inatumia 2 speed automatic transmission.

4. Honda CBR1100XX Blackbird: 190 mph (310 km/h)
 Pikipiki hizi zinatengenezwa na kampuni la Japan,Honda.Pikipiki hii ina 1137 cc,liquid-cooled, 4 cylinder engine.
Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 190mph (310km/h). Horsepower yake ni 114 kw (153 hp) @ 10000 rpm power.
Transmission system inayotumia hii pikipiki ni close-ratio 6-speed transmission.

5. Yamaha YZF R1: 186 mph
 Pikipiki hizi zinazalishwa na kampuni maarufu zaidi nchini Japan, Yamaha.Engine inayotumia pikipiki hii ni forward inclined Parallel 4-cylinder,20 valves,DOHC,liquid-cooled.
Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 186mph.Horsepower yake ni (95.6Kw) at 10000 rpm.Inatumia constat mesh 6 speed transmission system.

6. MV Agusta F4 1000 R: 176 mph (299 km/h)
 Pikipiki hii inazalishwa na viwanda vya Augusta nchini Italy. Pikipiki hii ina 4 cylinder,16 radial valves,DOHC, liquid cooled engine.This motorcycle is manufactured by Augusta of Italy. The motorcycle is powered by 4 cylinder, 16 radial valves, DOHC, liquid cooled engine.
Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 176mph(299km/h). Power inayoweza kuzalishwa na hii pikipiki ni 128kw (174 horsepower.) Mfumo wake wa transmission inayotumika na hii pikipiki ni multi-disc wet cluth yenye 6 speed cassette gearbox.

7. Kawasaki Ninja ZX-11/ZZ-R1100: 176 mph (283 km/h)
 Mtindo huu wa pikipiki unatengenezwa na viwanda na kampuni ya Japan, Kawasaki.Inatumia 1052 cc 4-strokes, 4 cylinder, DOHC, Liquid-cooled engine.Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 176mph(283km/h).Power inayozalishwa na hii pikipiki ni
108kW (147 PS) @ 10,500 rpm. Pikipiki hii inatumia 6 spped transmission

8. Aprilia RSV 1000R Mille: 175 mph (278 km/h)
 Pikipiki hii inatengenezwa na viwanda vya Asprilia.Inatumia 998 cc 60 degree V-twin engine.
Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 175mph(278km/h).Pikipiki hii inazalisha 105.24 Kw(143.09 PS;141.13 hp) @ 1000 rpm. Pikipiki hii ya Aprilia ina 6 speed chain drive transmission system.

9. BMW K 1200 S: 174 mph (278 km/h)
 Pikipiki hii inatengenezwa na viwanda vya BMW.Inatumia 16 valves yenye 4 cylinder.Engine yake ni DOHC,horizontal in-line na liquid cooled. Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 174mph(278km/h).Pikipiki hii inazalisha 164.94 horsepower (120.4kW) @ 10250 RPM. Transmission inayotumia pikipiki hii ni 6 speed manual transmission.

10. Ducati 1098s: 169 mph (271 km/h)
Pikipiki hii uvumbuzi wake ulitoka Italia.Inatumia L-Twin Cylinder Engine yenye 4 valver kwa kila cylinder Desmodromic na liquid cooled. Spidi ya juu zaidi inayoweza kufikia ni 169mph(271km/h) na power yake ufikia 119.3kW (160.0 bhp) @ 9750rpm.Ducati 1098 inatumia 6 spped chin transmissions.