VIDEO: Bosi mpya wa Simba kutoka Afrika Kusini azungumza Kiswahili/ Aweka wazi mipango yake/ Ampa tano Magori


Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Simba SC, Senzo Mazingiza kutoka nchini Afrika Kusini ametanmbulishwa rasmi leo katika hoteli ya Serena huku akionyesha uwezo wake wa kuzungumza lugha ya Kiswahili, pia ameweka wazi malengo yake ndani ya timu hiyo pamoja na kumpongeza CEO aliyemaliza muda wake Crescentius Magori.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia