Waziri wa Maji atoa agizo hili litekelezwe ndani ya miezi mitatu
byMuungwana Blog 3-
0
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa amezipa miezi mitatu mamlaka za maji zinazotumia bei ya makadirio kuhakikisha wateja wote wamefungiwa dira za maji ili kila mteja alipe gharama ya maji kwa kiasi alichotumia.