F Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara | Muungwana BLOG

Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo wa Yanga dhidi ya Polisi Tanzania kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 3-3 huku ikishuhudia 'hat-trick' ya kwanza msimu huu iliyopigwa na Ditram Nchimbi wa timu ya Polisi Tanzania.

FT : Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania.