Prof. Ndalichako amwakilisha Waziri Mkuu ufunguzi warsha ya Kimataifa inayohusu uongozi


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amemwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa katika hafla ya ufunguzi wa warsha ya Kimataifa inayohusiana na masuala ya uongozi katika mapinduzi ya nne ya Viwanda.

Warsha hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam na imehudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Jim Yonaz na Gavana Mstaafu wa Benki kuu Beno Ndulu.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia